Hao mateller ndio wanakula na hao wafanyabiashara. Kwahyo wenyew mshahara ukiingia tu, wa kwanza kufahamu ni wao. Hadi wew uje uhamishie kwenye simu unakuwa umeshachelewa..Sasa atm card ikichukuliwa si unahamisha tu pesa kwa mobile money au unawahi benki na kutoa kwa teller??!!
vingine sio taasisi ni watu binafsi serikali imelala sana, wafanyakazi wanadhurumiwa sana.Hivi vi microfinance vipo sana..vina mahesabu ya ajabu ajabu sana yaan..kuna mwingi e unaweka laki 4 unachukua laki 8 .ila unarudisha 1.2m😅
Huu mkopo ujambazi. Mama yangu mzazi sitompa password ya ATM card yangu ije kuwa chali tu kwa kunipa mkopo. AiseeeMmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
Mi nikajua ni typing error ni 2.5Dunia ina mengi mkuu, wapo wanaoliwa kijinga hivyo. Nimeshuhudia hayo.
Labda ni riba ya miaka 100 [emoji23][emoji23]Mkuu huu uongo, million moja kwa million 25? Nakataa.
Aiseee huu uongo, how? Hata Kama huna akili haiwezi kuingia akilini hii
Mimi nahisi alikopa muda mrefu riba ikawa inaongezeka kila mwezi.Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitapeli kwa wananchi.
Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM pamoja na namba ya siri. Mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
Wamekuza mambo mkuuMkuu huu uongo, million moja kwa million 25? Nakataa.
Aiseee huu uongo, how? Hata Kama huna akili haiwezi kuingia akilini hii
amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
Labda milioni moja kwa milioni 2.5 hapo ntaelewa maana ndo riba za mitaaniMkuu huu uongo, million moja kwa million 25? Nakataa.
Aiseee huu uongo, how? Hata Kama huna akili haiwezi kuingia akilini hii
Wewe na hao wanaojiita wafanyakazi ni wajinga ndio maana ya msemo wa wajinga ndio waliwaovingine sio taasisi ni watu binafsi serikali imelala sana, wafanyakazi wanadhurumiwa sana.
mboga 7 mna matatizo sana nakwambia ni watu binafsi wewe unataka lazimisha iwe taasisi.kwa akili zako kubwa ni wapi inaruhusiwa kushikiria kadi za mteja wapi ukaona m1 inalipwa kwa m25. kuna vitu vingi hivifahamu endelea kuwa kwenye uzio na kula mboga 7 haya mengine mapya kwakoWewe na hao wanaojiita wafanyakazi ni wajinga ndio maana ya msemo wa wajinga ndio waliwao
Hakuna mtu analazimishwa kwenda kukopa na masharti yako wazi na hizo taasisi zimesajiliwa na kodi zinalipa
Huko ndiko unaweza pata pesa ya shida ya papo kwa papo tofauti na benki na ndio maana mikopo yao haizidi milioni moja na ina high risk ya kudefault thus why riba ni kubwa,mbona mabenki yanawalazimisha wafanyakazi kukopa na kulipa kwa mda mrefu,ukija kufanya hesabu za marejesho umefanyia benki
Hata iwe mboga kumi,kama hulipiwa deni unategemea kuna hela za bule wapi usopolipa itafika hadi 50mlnmboga 7 mna matatizo sana nakwambia ni watu binafsi wewe unataka lazimisha iwe taasisi.kwa akili zako kubwa ni wapi inaruhusiwa kushikiria kadi za mteja wapi ukaona m1 inalipwa kwa m25. kuna vitu vingi hivifahamu endelea kuwa kwenye uzio na kula mboga 7 haya mengine mapya kwako
bado una nafasi kajifunze kuandika ndo uje ubishi,maana mwandiko usha kuonesha wewe ni mtu wa namna gani?Hata iwe mboga kumi,kama hulipiwa deni unategemea kuna hela za bule wapi usopolipa itafika hadi 50mln
Kesi Kama hii niliona mtandaoni ilitokea Iringa Kuna mama alikuwa mwalimu mstaafu halaf ni mlemavu wa macho alikopa mil 4 akawa anadaiwa mil 16.mnapinga vitu ambavyo hamfahamu, iyo ipo nanimeishuhudia. unakuta mfanya biashara anamvizia mfanyakazi wakati wa ku staafu anamkopa 2m kila mwezi shilingi inazaa shilingi kwa mwezi wa kwanza inakua 4m, akipitisha mwezi mwingine ile 4m inazaa inakuwa 8m mwezi wa 3 inakuwa 16m mwezi wa 4 inakuwa 32M
akiona imekuwa kubwa labda 8 au 16 anaanza vitisho vya kumfunga na kumlazimisha wakaandikiane kwa mwanasheria madai ya 8-16m hapo na mahakama kwa kutumia ujanja ujanja wanatambua iyo mikataba.
kuna mambo ya ajabu sana wakuu naona hamuamini ila yapo sana.
Asilimia 2,500Huyu Mwendawazimu 1million ~~25mill