FAKE FAKE FAKE FAKE FAKE FAKE...
Hakuna mkpo wa riba 2500%
Sema mnatumia matako badala ya akili..
Niliwahi kufanya utafiti wa hiyo mikopo nikagundua kwa uchache haya hapa..
1. Riba ni 30% monthly basis
2. Ukikopa 10000 utalipa 13000 na ikiwa umerudisha only interest yaan 3000 basi next month inakukalia tena 13000 kwa maana interest iko kwa monthly basis..
3. Wakopaji wengi badala ya kulipa madeni huwa wanaongeza mikopo hiyo hivyo kupelekea pesa kukua sikj hadi siku..
4. Hiyo mikopo inasaidia hasa walimu na polisi ambao mishahara yao iko hoi kwelikweli.. wanachofeli ni kwamba access ya hiyo mikopo ni rahisi maana unaacha only ATM card yako ya mshahara as a collateral.. hivyo woa huchukua tu pesa kwa kuona hawana kazi kubwa ya kuonyesha labda hati kama zifanyazo bank na mashirika ya ukopeshaji pesa..
5. HATA WANAOKOPESHA WANAKUWA KATIKA RISK YA KUTOLIPWA PESA ZAO KWA MAANA WAKOPAJI PIA WANAENDA BANK KUTANGAZA KUWA KADI ZAO ZIMEPOTEA HIVYO KUFUNGIWA NA KUPEWA MPYA..
MWISHO KABLA HAMJAWEKA KITU HAPA TAFUTENI DATA SAHIHI ILI WASIOJUA ABCD YA KITU WAWEZE FAHAMU JAPO KWA UCHACHE..