Benki zimelala watu wanapiga pesa

Benki zimelala watu wanapiga pesa

Logically mtu anae kopa m1 sio rahisi ya kupataa 20 m
 
Hiyo mikopo inatakiwa kupigwa marufuku kwa nguvu zote jamaa Arusha walimkopesha jamaa million tatu walitaka kuuza gari ambayo mkopaji aliingiza kwa 37million ilifika karibu milion kumi naa inatakiwa irudi na wana ndugu ndipo walipoingilia kati huku na huku na fujo zikawatoka 8 million ndio kupata kadi na gari yake hao jamaa ni matapeli sana...na hela zao wanazipitisha wanakojua maana ukopeshaji wao wanatoa hela mkononi ukiwaambia wakuwekee kwenye account ya bank hawataki...
maana ni kua akikupa mkononi..amini amini nawaambia hutafanya biashara na ukapata faida..kama ni zamana inakwennda au hela inaongezeka...wasenge sana hao..wanaroga hela sio poa
 
usiwe kama kiwavi, anaedhani dunia ni lile jani alilopo kumbe kwenye mti huohuo kuna majani maelfu kwa maelfu, na miti ya jirani nayo ina majani maelfu
FAKE FAKE FAKE FAKE FAKE FAKE...
Hakuna mkpo wa riba 2500%
Sema mnatumia matako badala ya akili..
Niliwahi kufanya utafiti wa hiyo mikopo nikagundua kwa uchache haya hapa..
1. Riba ni 30% monthly basis
2. Ukikopa 10000 utalipa 13000 na ikiwa umerudisha only interest yaan 3000 basi next month inakukalia tena 13000 kwa maana interest iko kwa monthly basis..
3. Wakopaji wengi badala ya kulipa madeni huwa wanaongeza mikopo hiyo hivyo kupelekea pesa kukua sikj hadi siku..
4. Hiyo mikopo inasaidia hasa walimu na polisi ambao mishahara yao iko hoi kwelikweli.. wanachofeli ni kwamba access ya hiyo mikopo ni rahisi maana unaacha only ATM card yako ya mshahara as a collateral.. hivyo woa huchukua tu pesa kwa kuona hawana kazi kubwa ya kuonyesha labda hati kama zifanyazo bank na mashirika ya ukopeshaji pesa..
5. HATA WANAOKOPESHA WANAKUWA KATIKA RISK YA KUTOLIPWA PESA ZAO KWA MAANA WAKOPAJI PIA WANAENDA BANK KUTANGAZA KUWA KADI ZAO ZIMEPOTEA HIVYO KUFUNGIWA NA KUPEWA MPYA..

MWISHO KABLA HAMJAWEKA KITU HAPA TAFUTENI DATA SAHIHI ILI WASIOJUA ABCD YA KITU WAWEZE FAHAMU JAPO KWA UCHACHE..
 
Back
Top Bottom