Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,778 Reaction score 4,859 Jul 27, 2024 #21 nchonga aliyebaki said: Nimeliwaza hili, ila sasa kwa wajuzi wa benk au we Britannica nakuuliza mfanyakazi wa kawaida anaweza kuhold account ya klient? Click to expand... Nope. Hawezi
nchonga aliyebaki said: Nimeliwaza hili, ila sasa kwa wajuzi wa benk au we Britannica nakuuliza mfanyakazi wa kawaida anaweza kuhold account ya klient? Click to expand... Nope. Hawezi
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jul 27, 2024 #22 Hiyo deal usiiache washitaki benki, wafanyazi wanatakeleza amri ya mwajili wao. Watajuana mbele lakini wewe ulifungua akaunti benki na sio mfanyakazi wao.
Hiyo deal usiiache washitaki benki, wafanyazi wanatakeleza amri ya mwajili wao. Watajuana mbele lakini wewe ulifungua akaunti benki na sio mfanyakazi wao.