Usipoteze muda,bila sign ya mkuu hata uwe unafanyakazi ikulu mkopo hawatoi.
Banks sio rahisi namna hiyo kutoa pesa,ingekuwa hivyo watu kibao wangeenda kuchuka,maana leo unatoka Bank hii kesho unaingia nyingine,lakini Mkuu wenu lazima ajazishwe mkataba.
Maana kwa kusema wafanyakazi 300,ni ishara kwamba bosi wenu ni muhindi kwenye viwanda.Sasa wao wenyewe mikopo mitupu.Ujue Bank mtu akifa mwajiri lazima alipe.Sasa nyie wote 300 kila miaka miwili hakosi mtu kuchomoka.
Nakushauri kama mdau mmoja hapo kwamba Jiunge na Saccos,wao ndio hawana zengwe,unavyoweka ndio unaweka mazingira mazuri ya kuchukua pesa nzuri