Benki zinazotoa mikopo bila Mkataba na Mwajiri

Yakuza

Senior Member
Joined
May 22, 2011
Posts
114
Reaction score
43
Kuna Mwajiri ana staff zaidi ya 300 na wote wana mikataba ya kudumu. Mwajiri huyu hataki kuingia Mkataba na Benki ili staff wapatiwe personal loans (sababu anazijua mwenyewe). Naomba kujua Benki zinazotoa mikopo kwa wafanyakazi bila ya mkataba na mwajiri. Asante sana!
 
atakua mlishamtenda watu wanakimbia kampuni yake bila kulipa bank
 
Hakuna bank inayoweza kutoa mkopo kwa ambao dhamana yake ni mshahara wako bila mwajiri wako kuanguka signature ya ukweli na pia iambatanishwe na copy ya mkataba wako.
 
Nadhani banks zote zina mikopo isiyohitaji mikataba na waajiri. Jimwage tu!.

Kuna Mwajiri ana staff zaidi ya 300 na wote wana mikataba ya kudumu. Mwajiri huyu hataki kuingia Mkataba na Benki ili staff wapatiwe personal loans (sababu anazijua mwenyewe). Naomba kujua Benki zinazotoa mikopo kwa wafanyakazi bila ya mkataba na mwajiri. Asante sana!
 
fojin sign yake mkachukue mpunga. Achen kulala
 
Mkuu kwa nini usijiunge SACCOS maana huko ni bidii yako ya kuweka akiba ndo itakupa mkopo tofauti na beki, huko SACCOS pia riba ni nafuu sema sasa nyie vijana wa Sinza hamtaki kuweka akiba kwanza ndo tatizo
 
Usipoteze muda,bila sign ya mkuu hata uwe unafanyakazi ikulu mkopo hawatoi.
Banks sio rahisi namna hiyo kutoa pesa,ingekuwa hivyo watu kibao wangeenda kuchuka,maana leo unatoka Bank hii kesho unaingia nyingine,lakini Mkuu wenu lazima ajazishwe mkataba.
Maana kwa kusema wafanyakazi 300,ni ishara kwamba bosi wenu ni muhindi kwenye viwanda.Sasa wao wenyewe mikopo mitupu.Ujue Bank mtu akifa mwajiri lazima alipe.Sasa nyie wote 300 kila miaka miwili hakosi mtu kuchomoka.
Nakushauri kama mdau mmoja hapo kwamba Jiunge na Saccos,wao ndio hawana zengwe,unavyoweka ndio unaweka mazingira mazuri ya kuchukua pesa nzuri
 
Nadhani banks zote zina mikopo isiyohitaji mikataba na waajiri. Jimwage tu!.

...umedhani ndivyo sivyo,hakuna benki inayotoa mikopo bila kuwa na agreement na mwajiri. Nami nadhani ulimaanisha saccoss na sio benki...
 
Kuna Mwajiri ana staff zaidi ya 300 na wote wana mikataba ya kudumu. Mwajiri huyu hataki kuingia Mkataba na Benki ili staff wapatiwe personal loans (sababu anazijua mwenyewe). Naomba kujua Benki zinazotoa mikopo kwa wafanyakazi bila ya mkataba na mwajiri. Asante sana!

...labda usubiri china bank inafunguliwa soon hapo dar(kama upo dar)...
 
NMB na Azania wanatoa mikopo ya namna hiyo ila lazima ume na dhamana kama mwajiri hajaingia mkataba na Benki.
 
Back
Top Bottom