Yakuza
Senior Member
- May 22, 2011
- 114
- 43
Kuna Mwajiri ana staff zaidi ya 300 na wote wana mikataba ya kudumu. Mwajiri huyu hataki kuingia Mkataba na Benki ili staff wapatiwe personal loans (sababu anazijua mwenyewe). Naomba kujua Benki zinazotoa mikopo kwa wafanyakazi bila ya mkataba na mwajiri. Asante sana!