Wakuu,
Sijajua sababu ni nini hasa iliyopelekea benki nyingi hapa nchini kuweka limit katika utoaji wa pesa kupitia ATM mashine kwamba mkupuo mmoja uishie laki 4.
Hii naona ni usumbufu kwa wale watoaji wa pesa zaidi ya laki 4. Kuna shida gani kiwango kikiongezwa?
CRDB, NMB, NBC na bank zingine zote, sasa mtubadilishie iko kiwango kwani ni kero lakini pia mnatupiga kwenye makato mara mbili zaidi.