Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Za 200000 ni zile wanazozijaza noti za 5000 wanakera sanaATM baadhi hasa za CRDB zinatoa hadi 600,000/- na zingine hazitoi zaidi ya 200,000/- kwa mara moja.
Hii inawapa faida wao wanakukata ile tozo.
Wengi walikimbilua miamala ya simu tatizo huko nako gharama zimekua lukuki.