Benki ziongeze kiwango cha kutoa pesa ATM, 400K at once haitoshi

ATM baadhi hasa za CRDB zinatoa hadi 600,000/- na zingine hazitoi zaidi ya 200,000/- kwa mara moja.

Hii inawapa faida wao wanakukata ile tozo.

Wengi walikimbilua miamala ya simu tatizo huko nako gharama zimekua lukuki.
Za 200000 ni zile wanazozijaza noti za 5000 wanakera sana
 
Za 200000 ni zile wanazozijaza noti za 5000 wanakera sana

Na hizi nyingi ziko remote ( hazipo kwenye matawi). Hata hivyo ni gharama kuhudumia ATM, kusafirisha pesa, huduma ya internet, ulinzi n.k
 
Mkuu CRDB Unatoa Mimi nilitoa Milioni Mbili kwa wakati Mmoja Nilitoa 600.000 then 600.000 then 600.000 then 200.000 inawezekana Mbona.
 
utaona akitoshi mpaka siku utakapoibiwa atm kadi au utakapopoteza na kupokea jumbe za mtu kutoa hela kwnye account yako laki nne, unajiuliza ingekuwa milion 1 ingekuwaje, mm naona ni sahihi tu kwa sababu za kiusalama, ukitaka kiwango kikubwa zaidi nenda kwnye branch, au wakala maana mawakala wanafanya kazi masaa 24 siku 7 za wiki!!
 
Japo sijasoma ulichoandika... Huu ushuzi wa mtumishi was Benki mods futeni...kuwa mfanyakazi wa Benki isiwe sababu ya kupenda Dhulma...Mungu atawachoma Moto wezi nyie mnaolindwa na dola...ndio Mana nimeamua kuzichimbia ndani pesa zangu...
Mkuu inavyoonekana hujawahi ibiwa pesa.
 
 
Boss hapo hakuna cha wizi, risk wala terrorism finance. Ni kwamba watapata faida kutoa more than once time, mkumbuke hata bank zinaibiwa na hata ukitolea ndani then kwenye safari zako ndo hauwezi kuibiwa?. Ifikie mahali waache janja janja tu coz the people of now days are educated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…