papason
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 5,119
- 5,698
yaani yanga walikuwa tayari wamepoteza almasi mchangani, maamuzi ya kumwacha yalikuwa yamefanyika na yeye alikuwa anasubiri chake tuu ili atimkie JKT Ruvu aliokuwa amemalizana nao, ni busara ya kiongozi mmoja ndiyo leo hii inatuokoa, wee unafikiri kwenye mechi ya mnyama kindoki angetufungisha bao ngapi kama si 7!