Beno David Kakolanya Tanzania one

Beno David Kakolanya Tanzania one

yaani yanga walikuwa tayari wamepoteza almasi mchangani, maamuzi ya kumwacha yalikuwa yamefanyika na yeye alikuwa anasubiri chake tuu ili atimkie JKT Ruvu aliokuwa amemalizana nao, ni busara ya kiongozi mmoja ndiyo leo hii inatuokoa, wee unafikiri kwenye mechi ya mnyama kindoki angetufungisha bao ngapi kama si 7!
 
Sio kindoki tu,hata dida ambaye wachumia tumbo waliokua hawamtaki beno walitaka kumrudisha dida,bahati nzuri kwetu mikia wakamuwekea dau kubwa na mchaga anavyopenda pesa akaona aende mkiani,hiyo ikawa nzuri sana kwa timu ya wananchi
 
Ukiona katika timu, mchezaji bora wako ni kipa, unatakiwa utambue kua;
1. Beki yako ni mbovu ndo maana mipira mda mwingi ipo kwake
2. Kiungo yako ni mbovu
3. Safu yako ya ushambuliaji nayo ni nyang'anyang'a

Kwa kifupi timu zima ni MBOVUUUU.

cc SokaChat Hajar Prince Kunta na kaka yao Mgagaa na Upwa
Timu mbovu hlf mwezi mmoja na nusu katika michezo yake inashinda huku ikiwa haijaruhusu goli,yan mwezi okt hata ukigoogle dunia nzima ni Yanga peke yake timu ambayo haijaruhusu goli mkuu [emoji2],hii rekodi hamna timu itakayokuja kuivunja
FB_IMG_1540990584633.jpeg
 
Ukiona katika timu, mchezaji bora wako ni kipa, unatakiwa utambue kua;
1. Beki yako ni mbovu ndo maana mipira mda mwingi ipo kwake
2. Kiungo yako ni mbovu
3. Safu yako ya ushambuliaji nayo ni nyang'anyang'a

Kwa kifupi timu zima ni MBOVUUUU.

cc SokaChat Hajar Prince Kunta na kaka yao Mgagaa na Upwa
U have problem.......... yani timu mbovu kiasi hiko alafu inaongoza ligi ..think twice ...kila timu inaudhaifu wake ....Hata barca real Madrid.....je ni sehemu ipi ambayo imekua dhaifu ndo inabidi upatarget lakin kutuambia timu nzima mbovu hizo ni hisia za ushabiki unaleta.......impossible
 
sio kwamba hatuna wafungaji wazuri ndio maana anaonekana bora?
 
U have problem.......... yani timu mbovu kiasi hiko alafu inaongoza ligi ..think twice ...kila timu inaudhaifu wake ....Hata barca real Madrid.....je ni sehemu ipi ambayo imekua dhaifu ndo inabidi upatarget lakin kutuambia timu nzima mbovu hizo ni hisia za ushabiki unaleta.......impossible
Hata arsenal,african lyon,augusburg ligi ikianza tu huwa wanaongoza ligi ila christmas hawatoboi hahahaha so kukaa juu tu hata ambaluti anaweza kukalia usukani pale juu
 
Back
Top Bottom