Beno Kakolanya ampa makavu mchambuzi uchwara David Felician

Ukitaka kujua ulichoandika pumba nenda kamuweke ronaldo nje mechi 5 kama hajataka hata kuukatisha mkataba ili aende timu nyingine akacheze hata kama mshahara utakua mdogo
 
Beno anaokekana ana stress kasha yakanyaga hizo hasira zina tafsiri kitu flani anapitia.
 
You're so stupid
 
Ukiwa hupati namba ktk mechi muhimu na zisizo za umuhim kama Mchezaj ndo matokeo yake upo mtandaon Unasoma na kujibu comment
 
Kupangwa nani akae golini hayo ni maamuzi ya kocha.
Kikubwa MSHAHARA WAKE UNAINGIA.
mnataka agome au afanye nini?
Jina ulilojipa katika avatar linaakisi ulivyo na hakuna mtu hapa duniani anaweza kukusaidia. Usisahau asiyefanya kazi basi na asile, tulielezwa. aidha wakimchoka utampa huo mshahara?
 
Wamchoke kivipi wakati kocha mwenyewe ndo hampangi?
Kama wanaona Hana msaada si wamvunjie mkataba wake aondoke?.
Ila Kama bado yupo huyo ni mchezaji wa Simba na ATAPOKEA MSHAHARA KAMA KAWAIDA
Jina ulilojipa katika avatar linaakisi ulivyo na hakuna mtu hapa duniani anaweza kukusaidia. Usisahau asiyefanya kazi basi na asile, tulielezwa. aidha wakimchoka utampa huo mshahara?
 
Jiulize kwanini Beno alipokuwa yanga alikuwa namba 1 kila mechi anacheza lakini alikuwa ANALALAMIKA.
Lakini leo yupo Simba kipa namba 2 hachezi lakini halalamiki.
Jina ulilojipa katika avatar linaakisi ulivyo na hakuna mtu hapa duniani anaweza kukusaidia. Usisahau asiyefanya kazi basi na asile, tulielezwa. aidha wakimchoka utampa huo mshahara?
 
Huyo Beno mjinga tu.Ipo siku atakumbuka maneno ya huyo mwandishi. Bora kuwa first goalkeeper Yanga kuliko kwenda kuwa third option Simba.
 
Wewe unaweza fanyakazi mahali ambapo hakuna mshahara, unataka familia yako ile nini?
 
Haya ndio maoni sasa well done
 
Mbona hawamsemi Ozil anakaa benchi na mshahara unaingia mkubwa lakini hajali
 
...aloyechemka zaidi ni Gadiel maana hakufikiria kabisa anakokwenda anakwenda kuwa nani? Matokeo yake kaacha nyumba yake kaenda kupanga. Beno ni miongoni mwa vipaji halisi vya kitanzania, Lakini ameua kipaji kwa kukosea kuchagua.
Kabla ya kuhitimisha, ni vyema tuweke wazi. Je, mafanikio ya mchezaji ni kucheza mechi za ligi ya Bara au kupata fedha ndefu? Je, wangapi walikuwa kikosi cha kwanza hadi wanastaafu lakini hawakupata fedha anayolipwa Benno au Gadiel? Je, ni wangapi waliopata namba kwenye vikosi vyao na wakaishia hapa hapa nchini? Je, hao wachezaji wanaokaa benchi, hawafurahii maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…