Ganda la mua la janaHabari mbaya sana hii kwa ombaomba fc
Sizitaki hizi mbichi π π π π π π πGanda la mua la jana
Simba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.Habari mbaya sana hii kwa ombaomba fc
[emoji28][emoji28][emoji28]Kula sio kipaumbele changu kwa sasa, nimekula sanaa wacha na wengine wale.
Napingana na wewe. Tatizo la hao Wachezaji wamejisahau na hawataki kujituma. Mbona Haruna amerudi vizuri kwenye kiwango chake?!Simba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
wenyewe wanasema Azam ndio inaua vipaji!Simba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Kweli mkuu simba ndo mahali pa kuzikia vipaji...watu kama samatta na wengineo vipaji vyao vilizikiwa simba π π πSimba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Simba waliua mpaka kipaji cha samattaπππππwenyewe wanasema Azam ndio inaua vipaji!
Wachezaji wa leo, hawaangalii sana kucheza ama mataji. Kipaumbele chao ni pesa. Hivyo simlaumu sana Beno amefanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Lunyamila alicheza haswa leo hii maisha yamempiga.Atasugua bench huyo
Tusubiri aanze kugombea namba na Manula. Mwenzake kapewa miaka mitatu.Ni Beno Kakolanya. Hakuna ubishi kuwa huyu ni moja ya makipa wenye uwezo mkubwa nchini na tunaamini akishirikiana na wenzake katika kikosi chetu watatuwezesha kuongeza ukubwa wa timu na kutupatia mataji msimu ujao. Tumeshamalizana nae kwa mkataba wa miaka miwili. #NguvuMoja