Nyie hamjamtupa, ila umeshindwa kumudu. Ni sawa na mwanamke anakuacha kisa hauna pesa, haimanishi umpendi ila umeshindwa kumuhudumiaHahaaa. Hivi na Simba mmefikia huko aiseee.
Sasa huwa tambo zenu za nini Mtani kama bado mnasubiria tutupe kisha na nyie ndio muokote.
Atapigwa kipapai ww na hatafanya lolote pale, hapo ndiyo atamtambua Manula ni nani au akawaulize kina Nduda na Mwadini Ally wa Azam, hawana hamu nayeNi golikipa mzuri na kama ni kweli, basi Aishi Manula atapata mpinzani wa kweli.
Mmh. Sa wenzake walimudu vp? Dharau zake ndio zilimponza.Nyie hamjamtupa, ila umeshindwa kumudu. Ni sawa na mwanamke anakuacha kisa hauna pesa, haimanishi umpendi ila umeshindwa kumuhudumia
Watarogana tu...kuna mmoja atapoteza ujuziNi golikipa mzuri na kama ni kweli, basi Aishi Manula atapata mpinzani wa kweli.
Mwenye tabia ya kupiga wenzake viparachichi na vipapai, ni Mohammed Hussein.Atapigwa kipapai ww na hatafanya lolote pale, hapo ndiyo atamtambua Manula ni nani au akawaulize kina Nduda na Mwadini Ally wa Azam, hawana hamu naye
Kitu kizr lazima ukitamani,Mmh. Sa wenzake walimudu vp? Dharau zake ndio zilimponza.
Semeni tu mnaongeaga Yanga hiki mara yanga kile kumbe kwa mbaali mnaitamani.
Acheni utani nyie, hivi wabongo hamna kumbukumbu, hivi kiwango cha tshabalala umfananishe na kwasi ?Mwenye tabia ya kupiga wenzake viparachichi na vipapai, ni Mohammed Hussein.
Manula mbona kacheza vizuri tu na dida
Mkuu mwisho wa siku hizi ni imani tu zisizo na uthibitisho, all in all Zimbwe jr ni mtu mbaya sana kwenye pitchAcheni utani nyie, hivi wabongo hamna kumbukumbu, hivi kiwango cha tshabalala umfananishe na kwasi ?
Hivi mmesahau msimu wa 2016/17 ndo alikua mchezaji bora wa VPL?
Kwasi ni mzr lakini si kwa kumuweka nje Tshabalala. Msimu wa 2017/18 kwasi alikua anamuweka nje Tshabalala kwa sababu ya majeraha aliyoyapata Kwenye mechi ya fainali ya FA.
Kua bechi haimanishi unalogwa wafikirie na viwango vyao.
Mi sijakataa...ndo nimekuuliza kwa hiyo nyinyi yanga mlisajili mchezaji pancha????..mbona unashindwa jibu swaliFuatilia historia yake ewe mlugulu acha ubishi
Kweli kabisa upo sawa, angekuwa na akili kama alikosa timu yoyote ya nje angeenda hata Azam au kmc kuliko kwenda kukaa benchi. Itakuwa vigumu kumtoa Manula .Simba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Mwenye tabia ya kupiga wenzake viparachichi na vipapai, ni Mohammed Hussein.
Manula mbona kacheza vizuri tu na dida
Ac VitalMzee makofia kaamuaView attachment 1127845
Huyu hamkutupa mlishindwa Ku mlipaHahaaa. Hivi na Simba mmefikia huko aiseee.
Sasa huwa tambo zenu za nini Mtani kama bado mnasubiria tutupe kisha na nyie ndio muokote.