Beno Kakolanya asaini mkataba wa miaka miwili Simba sports club

Beno Kakolanya asaini mkataba wa miaka miwili Simba sports club

Hahaaa. Hivi na Simba mmefikia huko aiseee.

Sasa huwa tambo zenu za nini Mtani kama bado mnasubiria tutupe kisha na nyie ndio muokote.
Nyie hamjamtupa, ila umeshindwa kumudu. Ni sawa na mwanamke anakuacha kisa hauna pesa, haimanishi umpendi ila umeshindwa kumuhudumia
 
Atapigwa kipapai ww na hatafanya lolote pale, hapo ndiyo atamtambua Manula ni nani au akawaulize kina Nduda na Mwadini Ally wa Azam, hawana hamu naye
Mwenye tabia ya kupiga wenzake viparachichi na vipapai, ni Mohammed Hussein.

Manula mbona kacheza vizuri tu na dida
 
Mmh. Sa wenzake walimudu vp? Dharau zake ndio zilimponza.

Semeni tu mnaongeaga Yanga hiki mara yanga kile kumbe kwa mbaali mnaitamani.
Kitu kizr lazima ukitamani,
Mi sikatai kua tulikua hatumtamani ila nilikua namjibu huyo anaposema Yanga mlimwacha adhifu mlimwacha kwa sababu kiwango chake ni kidogo .
Kumbe mlimwacha hamkua na hela za kumlipa
 
Mwenye tabia ya kupiga wenzake viparachichi na vipapai, ni Mohammed Hussein.

Manula mbona kacheza vizuri tu na dida
Acheni utani nyie, hivi wabongo hamna kumbukumbu, hivi kiwango cha tshabalala umfananishe na kwasi ?
Hivi mmesahau msimu wa 2016/17 ndo alikua mchezaji bora wa VPL?
Kwasi ni mzr lakini si kwa kumuweka nje Tshabalala. Msimu wa 2017/18 kwasi alikua anamuweka nje Tshabalala kwa sababu ya majeraha aliyoyapata Kwenye mechi ya fainali ya FA.
Kua bechi haimanishi unalogwa wafikirie na viwango vyao.
 
Mkuu mwisho wa siku hizi ni imani tu zisizo na uthibitisho, all in all Zimbwe jr ni mtu mbaya sana kwenye pitch
 
Simba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Kweli kabisa upo sawa, angekuwa na akili kama alikosa timu yoyote ya nje angeenda hata Azam au kmc kuliko kwenda kukaa benchi. Itakuwa vigumu kumtoa Manula .
 
Mkuu tuvute tu subiri na muda utaongea, huyu Kakolanya kajimaliza, bora hata angeenda zake Azam fc au hiyo KMC
Mwenye tabia ya kupiga wenzake viparachichi na vipapai, ni Mohammed Hussein.

Manula mbona kacheza vizuri tu na dida
 
Akitua na uyu
IMG-20190615-WA0004.jpeg
 
Hakuna shida the big boss Zahera alishamshitukiaga kitambo sana kuwa meneja wake ni mtu Wa Simba na walitaka kuihujumu timu akambalasa na kumfungia vioo mazima. Hana jipya and No shock at all!
 
Back
Top Bottom