Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Dida kacheza match ngapi za msimu?Mwenye tabia ya kupiga wenzake viparachichi na vipapai, ni Mohammed Hussein.
Manula mbona kacheza vizuri tu na dida
Saa nane muda huu hatujaona hata Mbuzi akitambulishwaKila siku saa 7 mchana nchi inasimama kutaka kusikia nani kasaini. Manina viporo vya usajiri Yanga kateni rufaa
Wamezoea kupelekeshwa kwa uongo na yule msema hovyo waoSaa nane muda huu hatujaona hata Mbuzi akitambulishwa
Salamba analipwa hela nyingi kuliko Zahera (Kumbuka Zahera mwenyewe alisema halipwi kabisa)Kama kuna ka ukweli wanaonea huruma kwasi na salamba ila sio mbaya wanamilki bodaboda now
Walisema leo ni kishindo, lakin hadi sasa bado hakijalipukaIlikuwa atambulishwe mganda ila yanga wametuwahi kudadekiiiii!!!!!!
Huu waweza kuwa usajili bora kabisa kwa msimu huu , Kakolanya hata Manula anasubiriNi Beno Kakolanya. Hakuna ubishi kuwa huyu ni moja ya makipa wenye uwezo mkubwa nchini na tunaamini akishirikiana na wenzake katika kikosi chetu watatuwezesha kuongeza ukubwa wa timu na kutupatia mataji msimu ujao. Tumeshamalizana nae kwa mkataba wa miaka miwili. #NguvuMoja
Kuitamani Yanga hapana aisee Shadeeya ila mchezaji yoyote tutakae mtaka huko hatumkosi tunanyakua tu๐๐๐Mmh. Sa wenzake walimudu vp? Dharau zake ndio zilimponza.
Semeni tu mnaongeaga Yanga hiki mara yanga kile kumbe kwa mbaali mnaitamani.
Ndugu yangu ifananishe yanga na mwanamke ulieachana nae,Siku zote ataombea na atataka usipate demu mwingine ili aseme "unaona mie ndie niliekuwa namweza".nyinyi si ndio mlitaka Ben kakolanya asicheze maisha kumlipa mshahara hamtaki wala kuvunja mkataba hamtaki na ndio mmesababisha asiende Misri
Ni Beno Kakolanya. Hakuna ubishi kuwa huyu ni moja ya makipa wenye uwezo mkubwa nchini na tunaamini akishirikiana na wenzake katika kikosi chetu watatuwezesha kuongeza ukubwa wa timu na kutupatia mataji msimu ujao. Tumeshamalizana nae kwa mkataba wa miaka miwili. #NguvuMoja
Beno, si golikipa wakucheza timu za daraja la chini kama Biashara.Huku ni kutotumia akili vizuri unakataa dili la Biashara United Mara ambapo utakuwa na uhakika wa kucheza kila mechi unasaini Simba Sports Club ambayo ina makipa wanne, huna uhakika na namba yako ambapo unaenda kukaa Benchi muda wote!
Mbona Metacha wa Mbao yupo National Team?Beno, si golikipa wakucheza timu za daraja la chini kama Biashara.
Anaitwa Joash Onyango mwenye miaka 26 beki wa Kenya aliepo Misri na Harambee Stars,leo saa7 atatangazwa na MikiaAchana na hao wa kuunga unga mara kakolanya sijui ambao bajeti yao ni ndugu.
Vipi usajili wa kimataifa.. Wachezaji wa kigeni mbona hauelewek mpaka sasa..
Au mzee kilomoni kamtia wasiwasi boss kuwekeza kwa kiwango kikubwa.
Mtakuja kushangaa muda umeisha mmeishia kumpata kakolanya tu.
Mengine yanendelea kubakia tetesi tu.. Mara kahata mara walter.. Wako wapi??