Beno Kakolanya asaini mkataba wa miaka miwili Simba sports club

Beno Kakolanya asaini mkataba wa miaka miwili Simba sports club

Write your reply...
kiukweli kwa yanga tulishindwa kummiliki beno, viongozi hawamlipi halafu acheze kwa kiwango plus nidhamu! wakati yeye ana familia eti,
nenda huko huko beno kitasomeka huko huko cha msingi mkono uende mdomoni.

mzeekaka dripboy kwa leo niwe mpole tu
 
Mbonde ni majeruhi wa muda mrefu sana. Asante Kwasi amezidiwa mfumo, wakati Kwasi anatamba simba ilitumia zaidi 3-5-2. Na kumiliki sana mpira. Msimu huu simba imebadilika sana mpaka katika suala la kusubiri mpira.

Kwasi anashambulia kwa kusubiri mpira, Tshabalala anakimbizana na mpira kushambulia.

Angalia mechi ya marudiano Simbana As Vita. Hapa ndipo utajua tofauti kati ya uchezaji wa Kwasi na Tshabalala.

Ukija kwa Mo Ibrahim angalia watu anaoshindana nao, Chama, Niyonzima, Mkude, Kotei, Gyan. Hwa wote. Wanaweza kucheza nafasi yake.
 
Kama kuna ka ukweli wanaonea huruma kwasi na salamba ila sio mbaya wanamilki bodaboda now
Salamba analipwa hela nyingi kuliko Zahera (Kumbuka Zahera mwenyewe alisema halipwi kabisa)
 
Ni Beno Kakolanya. Hakuna ubishi kuwa huyu ni moja ya makipa wenye uwezo mkubwa nchini na tunaamini akishirikiana na wenzake katika kikosi chetu watatuwezesha kuongeza ukubwa wa timu na kutupatia mataji msimu ujao. Tumeshamalizana nae kwa mkataba wa miaka miwili. #NguvuMoja
Huu waweza kuwa usajili bora kabisa kwa msimu huu , Kakolanya hata Manula anasubiri
 
Mmh. Sa wenzake walimudu vp? Dharau zake ndio zilimponza.

Semeni tu mnaongeaga Yanga hiki mara yanga kile kumbe kwa mbaali mnaitamani.
Kuitamani Yanga hapana aisee Shadeeya ila mchezaji yoyote tutakae mtaka huko hatumkosi tunanyakua tu😃😃😃
 
nyinyi si ndio mlitaka Ben kakolanya asicheze maisha kumlipa mshahara hamtaki wala kuvunja mkataba hamtaki na ndio mmesababisha asiende Misri
Ndugu yangu ifananishe yanga na mwanamke ulieachana nae,Siku zote ataombea na atataka usipate demu mwingine ili aseme "unaona mie ndie niliekuwa namweza".
Kimsingi yanga walitaka beno asipate timu kabisa ili kumkomoa ndiomaana walimzuia siku zote zile asicheze mpira,sasa kwa kufanya vile sijui ndio walikuwa wanapandisha kiwango chake.Chuki ni ugonjwa mbaya sana hasa ikifikia kiwango kama hichi cha yanga.
Leo wanashangilia kushiriki mashindano ya kimataifa washasahau aliewafikisha hapo walikuwa wanamwombea na wakati mwingine kuwasaidia wageni ili afungwe.Utasikia wenyewe wanakuja na hoja zao za kishoga eti " nafasi hiyo tumeipigania"pumbavu, mbona washindi wa pili wa misimu iliyopita hawakupata hiyo nafasi.
Inataka ujitoe ufahamu kwanza kama si akili ili uwe shabiki mzuri wa yanga.
 
Ni Beno Kakolanya. Hakuna ubishi kuwa huyu ni moja ya makipa wenye uwezo mkubwa nchini na tunaamini akishirikiana na wenzake katika kikosi chetu watatuwezesha kuongeza ukubwa wa timu na kutupatia mataji msimu ujao. Tumeshamalizana nae kwa mkataba wa miaka miwili. #NguvuMoja

Huku ni kutotumia akili vizuri unakataa dili la Biashara United Mara ambapo utakuwa na uhakika wa kucheza kila mechi unasaini Simba Sports Club ambayo ina makipa wanne, huna uhakika na namba yako ambapo unaenda kukaa Benchi muda wote!
 
Beno, si golikipa wakucheza timu za daraja la chini kama Biashara.
 
Achana na hao wa kuunga unga mara kakolanya sijui ambao bajeti yao ni ndugu.

Vipi usajili wa kimataifa.. Wachezaji wa kigeni mbona hauelewek mpaka sasa..

Au mzee kilomoni kamtia wasiwasi boss kuwekeza kwa kiwango kikubwa.

Mtakuja kushangaa muda umeisha mmeishia kumpata kakolanya tu.

Mengine yanendelea kubakia tetesi tu.. Mara kahata mara walter.. Wako wapi??
 
Anaitwa Joash Onyango mwenye miaka 26 beki wa Kenya aliepo Misri na Harambee Stars,leo saa7 atatangazwa na Mikia
FB_IMG_15608434100096145.jpeg
 
Back
Top Bottom