Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

the gentleman has demonstrated a very high level of leadership maturity in politics by acknowledging where he went wrong.

well done Beno Malisa
 
Vipi kwenda kujiajiri? Si huwa wanahimiza vijana kujiajiri? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi vyeo uchwara kama RC na DC ndii vimezalisha uchawa kama huu.

Kwenye ila rasimu ya katiba mpya vilipendekezwa kufutiliwa mbali na kiwepo cheo kimoja tu ambacho kitakua kinapatikana kwa merit na watu wataomba nafasi na wawe ni wa eneo husika maana ndio wanajua matatizo ya hapo.

I
 
Huyu anajua kosa alilolifanya
 
Taifa linaenda enda tu bila dira 😎
 
Aje tujiajiri week tu ashaona kitaa kigumu
Kuna nini huku uraiani! Maana nipo deep underground yapata miezi mitatu sasa, huko ni kazi kazi ukizingua nakozi za kutosha. Ukija huku uraiani ni kama umeingia sayari ya masi.

Anyway! Huyu mwamba anaomba msamaha makosa yake nini? Au ni woga wa kilimo cha mikono!
 
Msimu tumeshaanza na mahindi tumepanda kwa maelekezo ya serikali,, kuwa tuwahi tuweze kwenda sawa na el nino.

Vocha keshachelewa yeye aje anunue mahindi ya ruzuku kilo moja kwa 18000=/ tu. bei si mbaya sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unajifanya unapinga, na hapa unapigia chapuo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…