Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

Hawa sindio huwa wanawahimiza vijana kuwa kilimo cha nyanya kina pesa?, aje field bila viposho na Kodi zetu tulime hizo nyanya!.
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.

Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.

Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.

Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake

Subiri kidogo, Mshana Jr akusafishe nyota, acha kulialia hovyo
 
Ila jau sana hii wanangu, kabisa yaani unafosiwa ukaombe msamaha hadharani.
Siasa zinaweza fanya hadi wanao wakakudharau.
 
Kwani alifanya kosa gani?

Anyway, huo unyonge wa kipumbavu ndo anaoupenda muuaji Samia.

Anapenda kuombwa radhi hadharani. Ni jambo linalompa furaha na kumfanya ajione ana nguvu nyingi.

Ukweli wa mambo ni hana lolote. Ana akili ndogo. Ni muuaji.

Namchukia sana. Fuq you Samia. Fuq you.
We ndio pumbavu nyoko kabisa
 
Kwani alifanya kosa gani?

Anyway, huo unyonge wa kipumbavu ndo anaoupenda muuaji Samia.

Anapenda kuombwa radhi hadharani. Ni jambo linalompa furaha na kumfanya ajione ana nguvu nyingi.

Ukweli wa mambo ni hana lolote. Ana akili ndogo. Ni muuaji.

Namchukia sana. Fuq you Samia. Fuq you.
Mbwa inajuta kukosa mchuzi! Atulie tu kwa kweli aujue mtaa ulivyo!
 
:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
Mambo ya Facebook yamekuja JF. Inasikitisha sana
 
Mtaani pagumu jamani... sio sehemu ya kukurupuka kuingia. Tatizo la hawa jamaa wengi hawana maisha nje ya siasa, hata hizo "biashara" zinakuwa nyuma ya siasa zao... akamuulize Kigwangala namna ya kuishi nje ya box
 
Back
Top Bottom