Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

Kujifanya kuvaa nguo za kijeshi na kuwasha vimulimuli kuwatisha raia kama yeye ni bonge la kiongozi nchini!
Bure, hovyo hovyo KABISA KABISA KABISA 🤬 👺 🤬 👺 🤬
'Nguo za kijeshi', lini na wapi?

Ilikuwaje tukio linyewe kwanza?
 
:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
Hapo unajiona mjanjA, kumbe
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.

Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.

Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.

Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake

Pumbavu hili, linalialia nini sasa?
 
wakiwa madarakani wawahimiza vijana wanaotoka vyuoni kujiajiri, wakivuliwa uongozi wanaanza kutia huruma na kutaka kuendelea kupewa nafasi. hela zote ulizopata kipindi unaongoza si utumie kama mtaji ili ujiajiri kama ambavyo mnavyohimiza vijana wanaotoka vyuoni..
 
Back
Top Bottom