Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Huna akiliUnajua nini wewe ?
Huna akiliUnajua nini wewe ?
Wataendelea kujikomba kwa viongozi na kuambulia buku 7 tena hiyo buku 7 hadi apost uhoro hapa jukwaaniWapi Vijana wa buku7
Hapana. Kuna wachaga wengi tu kwenye chama na serikali lakini ni nadra kuona hali kama ya Malisa inawatokea.Tatizo kabila lake.
Sijamzushia.Unamzungumzia mtu na kumzuishia kuwa na shida ambazo hata wewe mwenyewe huzijui.
beno zao la lowasa,Beno Malisa anakuwaga na matatizo gani? Hata wakati wa JK alishawahi kuwa na shida.
kapewa muda acheki afya yakeDc nzega ! DC nzega!
Beno ameuzwa
Click clickHuna akili
SAYNGAYClick click
Ni mama ukimaanisha Mke wake au Mama yake mzazi?Niliwahi kusikia Angelina Mabula ni mama wa Doto James
Mtu ashakua Waziri anarudi kwenye ukuu wa Mkoa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
1. Bi. Angeline Lubala Mabula ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora. Bi. Mabula anachukua nafasi ya Bw. Beno Morris Malisa, ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
2. Bw. Dunford George Mpelumbe ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Mpelumbe alikuwa Wakili wa Serikali katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mwaimu, ambaye amemaliza muda wake.
3. Bw. Omar Ali Omar ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Omar alikuwa Mkuu wa Idara ya Utawala, Mipango na Fedha katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume, Zanzibar. Anachukua nafasi ya Bw. Mohamed Khamis Hamad, ambaye amemaliza muda wake.
Uapisho wa viongozi wateule utafanyika kwa tarehe itakayopangwa baadaye.
Fafanuwa.Dc nzega ! DC nzega!
Beno ameuzwa
Wewe unaonaje, kukaa bench na kwenda kula pesa za RC bora nini? Hujui kama hapo amepewa pension ya uzeeni?Mtu ashakua Waziri anarudi kwenye ukuu wa Mkoa.
Upuuzi sana
Na wewe tumia akili yako Dotto Biteko anaweza kuwa na mke wa umri wa mama Mabula?Ni mama ukimaanisha Mke wake au Mama yake mzazi?
Mtu ashakua Waziri anarudi kwenye ukuu wa Mkoa.
Upuuzi sana
Ukimuangalia kwenye picha aliyopiga Nairobi alipomtembelea Lissu mara baada ya kupigwa risasi ile 2017! Huwezi kuamini ndiyo huyu wa sasa wa kauli za "kifo ni kifo tu"Rais wa visasi na vinyongo, sikuwahi kuhisi kuwa mwanamke anaweza kuwa na roho mbaya kiasi cha huyu bibi
Hivi Beno malisa kakosea wapi mpaka atumbuliwe?Hapana. Kuna wachaga wengi tu kwenye chama na serikali lakini ni nadra kuona hali kama ya Malisa inawatokea.