Ana msabwanda
Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.
Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.
Nipo sana ila napitaga kimya kimyaaa...Upo wewe?! Umeadimika ile mbaya!!!
Hahaaa.. au unaogopa kutekwa!!!Nipo sana ila napitaga kimya kimyaaa...
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mmmmhhh basi tenaSio Mara ya kwanza, aliwahi kutupia kwny Account yake ya Instagram clip akiwa anacheza akiwa kavaa kinguo cha ndani supu za 'Matter core' zote zinaonekana!
Skuizi hukawii kukuta noah nyeusi[emoji38] [emoji38] [emoji38] pia hili jukwaa skuizi halina vitu kama zamaniHahaaa.. au unaogopa kutekwa!!!
Mmh ametekwa lini tena??JOSE SIJAELEWA, NADHANI HUYU MTU KATEKWA ANATESWA. SASA KOMENTI ZINALETA PICHA INGINE
Hahahah umenisemeaKwenye huu utawala tutaona kila aina ya ubunifu.
Kwani si kapost mwenyewe hataIla ukiangalia kwa jicho la tatu mbona kama sio Ben huyo???
Umeona enh!! Jukwaa limepwaya kiasi kwamba wengine tukajikuta tunarejea kule kule ambako kwa muda mrefu tulishakupa kisogo... siasani!!!Skuizi hukawii kukuta noah nyeusi[emoji38] [emoji38] [emoji38] pia hili jukwaa skuizi halina vitu kama zamani
kabisa dada yangu, kama ni hiviDuuh Wanaume wanazidi kupungua.
Biashara ya muzik mbaya sanaa manake inawapelaga wasanii wetu kwenye unga au kuzibuliwa chembaMhhhhhhh analiwa! !!!!! Au ni vipi hapa mbona sielewi vile?
Somebody tell me this is photoshop!
Hahahaha haposa! Huo mkao ote ndao kanyi!Jicho porii liko salama kweli...