Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Mhm...mtoto siyo rizki! Kiki zingine za kibwege za kuiga kama hizi hazina mpango wowote!
 
6ea9056e498fb68d71197883f0cf731e.jpg


Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.

Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.
Ana msabwanda
 
wakina van dame kwenye movie wanaonyesha makalio mubashara hamsemi wasemeni wote achen upendeleo
 
Sio Mara ya kwanza, aliwahi kutupia kwny Account yake ya Instagram clip akiwa anacheza akiwa kavaa kinguo cha ndani supu za 'Matter core' zote zinaonekana!
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mmmmhhh basi tena
 
Nimepitia comments za watu hapa nimegundua kuwa alichokuwa amekilenga @BenPol amefanikiwa yaan amecreate attention
 
Skuizi hukawii kukuta noah nyeusi[emoji38] [emoji38] [emoji38] pia hili jukwaa skuizi halina vitu kama zamani
Umeona enh!! Jukwaa limepwaya kiasi kwamba wengine tukajikuta tunarejea kule kule ambako kwa muda mrefu tulishakupa kisogo... siasani!!!
 
Huyo si Ben Pol. Aliyefanya hivyo Mungu anamuona.
 
Back
Top Bottom