Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Jamaa huwa namuheshimu sana,,, ila kuanzia leo nimemchukia…!!
 
Kesho tutafanya DUA ,ili hiyo KAZI YAKE ASIACHE,NA AWE ANAPITA BARABARANI kuwaomba WAJANJA WAWE WANAMFUNGA KAMBA AKIWA HIVYOHIVYO!! JINGA KABISA
 
Nitachelwa kuamin ya kua amepiga na kuipost hii pic kwa nia yake. km n kweli sitamuonea huruma yy bali Ndugu zake.
Ninachohc
labda ametekwa,
labda n picha ya kuchorwa/kutengenezwa.
 
Nitachelwa kuamin ya kua amepiga na kuipost hii pic kwa nia yake. km n kweli sitamuonea huruma yy bali Ndugu zake.
Ninachohc
labda ametekwa,
labda n picha ya kuchorwa/kutengenezwa.
Hutaki nini sasa? Watu itakuwa wanamvuna bila shaka
 
Baadaye atakuja ajitetee "ooh ile ni film hvyo ktk harakati za kutafuta uhalisia, ivo yaani"
 
mimi nafikir cdhan km jamaa anaweza kufanya hvo 7bu account yke ina pct kwanza nahisi kama ipo hacked halaf nahisi kama ni adobe photo wameedit wamemuweka halaf wanamdhalilisha subir tuskie mwenyew akija itakuaje? pia nahisi wamemBASHITE ndio maana wanafanya unyama huu
 
Kama ni kweli basi ben kafanya upumbavu wa kiwango cha juu sana stupidity to the nth degree..WTF!
 
Mwenye number zake tafadhali mzingo naona naufikia bei..... Niudhaminishe fasta....
 
Back
Top Bottom