Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

6ea9056e498fb68d71197883f0cf731e.jpg

Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.

Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.
Wabongo kila mtu mjuaji. Yaani hata bila kusubiri nini inamaanisha hiyo picha, kila mtu anatokwa na povu.

Ikumbukwe kuwa Ben Paul ni msanii kama wasanii wengine. Na sote kwa pamoja tunajua kazi ya sanaa.

Kuna kitu kinakuja baada ya hilo cover. Sijui mapovu yenu mtayafuta kwa nini? Au mtamawambia mod aufute huu uzi?

Yaani kuna wengine wanafikia hadi hatua ya kusema jamaa kapoteza marinda!!!!! Sio fair mazee tujifunze kuwa na subira kabla ya ku judge.

Ni hayo tu
 
Lkn huyu hata nyimbo zake na mwonekane wake ni wa kishogashoga
 
Chura anarukaruka chura..churaa huyoo jamani chura huyoo

shame on him.....
 
Ben Poll na Lina Sanga both are from THT.
Wana Tabia sawa hawa.Picha za Linah akionesha LITUMBO lake hazina tofaut na Ben akionesha Masabury yake
 
Sasa Wewe hujui Tofauti ya kuonesha Kifua na Mgongo kwa Mwanaume?

Nyie ndio Mkiwa gheto na Washkaj ukitaka kubadilisha nguo wakiwa humo humo unageuka kuficha Mbupu na kuacha Matter core hadharani wayaone wenzio inatakiwa kuficha Matter core na Mgongo na kuwa face kwa kuwa hata wakiona Mtalimbo haina noma

Mwanaume kuonesha Kifua si ajabu ajabu ni kuruhusu Ku expose your Back na kwa Mwanamke ni Kinyume chake
 
Mgongo jambo la kawaida,sasa mgongo una shida gani?Nijuavyo mimi utupu wa mwanaume ni sehemu za siri na makalio!
Picha ya Ben Pol haimuoneshi makalio!
Basi njoo uongee na hii,hapo kumbuka kuna midume imesimama nyuma yake!
Screenshot_2017-05-20-17-11-03.png
 
Mgongo jambo la kawaida,sasa mgongo una shida gani?Nijuavyo mimi utupu wa mwanaume ni sehemu za siri na makalio!
Picha ya Ben Pol haimuoneshi makalio!
Basi njoo uongee na hii,hapo kumbuka kuna midume imesimama nyuma yake!
View attachment 512121

Huyu hajaonesha Mgongo Ila kapigwa Picha Mgongoni kuna Tofauti hapo,

Kama Wewe I Mwanaume na unaona kawaida kugeuka Nyuma hata bila ya kuwa uchi halafu unapigwa Picha inapostiwa kwny Mitandao jua una hitilafu kwny uanaume wako

Wewe Mtu akikushika Tak.o au Shaft kwako kote unaona sawa tu kwa kuwa vyote ni sehemu za siri? [emoji12] [emoji12]
 
Pia kakaa kwa upoooooole mi nadhani atatoa ufafanuzi kuwa alitekwa na kufungwa kamba na watu wasiofahamika maana si kawaida kabisa hii
 
6ea9056e498fb68d71197883f0cf731e.jpg

Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.

Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.
Ni zaidi ya uchizi.!
 
Huyu hajaonesha Mgongo Ila kapigwa Picha Mgongoni kuna Tofauti hapo,

Kama Wewe I Mwanaume na unaona kawaida kugeuka Nyuma hata bila ya kuwa uchi halafu unapigwa Picha inapostiwa kwny Mitandao jua una hitilafu kwny uanaume wako

Wewe Mtu akikushika Tak.o au Shaft kwako kote unaona sawa tu kwa kuwa vyote ni sehemu za siri? [emoji12] [emoji12]
Screenshot_2017-05-20-17-16-43.png
 
Huyu hajaonesha Mgongo Ila kapigwa Picha Mgongoni kuna Tofauti hapo,

Kama Wewe I Mwanaume na unaona kawaida kugeuka Nyuma hata bila ya kuwa uchi halafu unapigwa Picha inapostiwa kwny Mitandao jua una hitilafu kwny uanaume wako

Wewe Mtu akikushika Tak.o au Shaft kwako kote unaona sawa tu kwa kuwa vyote ni sehemu za siri? [emoji12] [emoji12]

Inategemea huyo mtu ni nani,kama mke wangu sawa!
Wewe utakubali kushikwa shaft na mwanaume mwenzako?
Halafu vp kuhusu kukata mauno kwa mtoto wa kiume?Hilo unaonaje????
 
Back
Top Bottom