Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume



Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.

Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.

Hilo paji la uso si la Ben Pol, umbile la kichwa si la Ben Pol, midomo ya Ben Pol ni mipana iliyobinuka. Uso wa ben Pol umejaa nyama tofauti na wa huyu. Linganisha macho, pua, midomo, mashavu, kichwa na hii hapa.




Pia Pol amekomaa. Si mlainilaini kama huyo.
 
Dah!! Ndio maana wanalia lia wametumika kipindi cha uchaguzi,kumbe ndio mchezo wao
 
Umeona enh!! Jukwaa limepwaya kiasi kwamba wengine tukajikuta tunarejea kule kule ambako kwa muda mrefu tulishakupa kisogo... siasani!!!
Kuna haja yakuanzisha operation maalumu ya kuokoa jukwaa pendwa hili [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Skuizi hakuna ubuyu, hakuna dai vs kiba...... Etc
 
Ndio huyu aliyesema hawezi kuvaa hereni maana ni kinyume na dini yake sasa alichofanya ndio haswaa dini inataka, STUPID
 
Huku wanawake wakikaa uchi papuchii hamtaki Haya mwanaume matako vepeeee
 
tigo nje nje duh tena kafungwa kamba kabisa kana kwamba ye ni kuku mgeni anayesubiri kuchinjwa.
 
Hawa vijana wanaopenda USTAA, WENGI WAO " MIPUNGA'':sasa kwa alichofanya huyo, kuna haya ya kuuliza??? CHAKULA TU!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…