mtu kafungwa mikono nyumaMmh ametekwa lini tena??
Hutaki nini sasa? Watu itakuwa wanamvuna bila shakaNitachelwa kuamin ya kua amepiga na kuipost hii pic kwa nia yake. km n kweli sitamuonea huruma yy bali Ndugu zake.
Ninachohc
labda ametekwa,
labda n picha ya kuchorwa/kutengenezwa.
Kwa kweliDuuh Wanaume wanazidi kupungua.
Theoretically YES!Duuh Wanaume wanazidi kupungua.
It is. It is photoshop.
kwamba kaishia kumfunga kweliiiii???Kinachoniumiza kafungwa hizo kamba na mwanaume kweli kaishia kumfunga!?