nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Wabongo kila mtu mjuaji. Yaani hata bila kusubiri nini inamaanisha hiyo picha, kila mtu anatokwa na povu.
Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.
Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.
Ikumbukwe kuwa Ben Paul ni msanii kama wasanii wengine. Na sote kwa pamoja tunajua kazi ya sanaa.
Kuna kitu kinakuja baada ya hilo cover. Sijui mapovu yenu mtayafuta kwa nini? Au mtamawambia mod aufute huu uzi?
Yaani kuna wengine wanafikia hadi hatua ya kusema jamaa kapoteza marinda!!!!! Sio fair mazee tujifunze kuwa na subira kabla ya ku judge.
Ni hayo tu