Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Numejikuta nafuta kila kitu kwenye simu yangu kuhusu huyo Jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali nimepata wa kuzungumza nae lugha moja mim sion km ni yey nmeanglia kwa makin sana yanMbona kama nikipima angle za usoni naona sio yeye?.. May be
Alafu ukute mafuta kapakwa na dume tena mbeba vyuma mwenye misuli!!yani kapakwa na mafuta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
wanaume wa cku hizi bhna tako linameremeta
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Alafu ukute mafuta kapakwa na dume tena mbeba vyuma mwenye misuli!!
![]()
Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.
Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.