Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

3e94f44ad49004a511d312fae9401032.jpg
 
Miaka mitano ijayo wanaume watakua hawazidi mia darisalama unaanzaje kuacha jicho wazi hivo daah katika wasanii nilikua nakuona kwa maono ya heshima mnoo leo hii umenichefua dogo kila lakheri matangazo mema ukipata wateja tupe mrejesho[emoji57][emoji57]
 
Mtoto mwenyewe mrembo alaf unaonyesha wo wo wo lako.
 
6ea9056e498fb68d71197883f0cf731e.jpg


Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.

Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.

Lazima ana chembechembe za ushoga au amesha pakatwa
 
ndo mana mim huwa sisikilizi hata nyimbo za kibongo weng wao wanatafuta kiki kwa upuuz ambao walitakiwa wafanye dada zao ndo wanafanya wao dah ka2dhalilisha sana waname
 
Hapo akiambiwa anapakuliwa atakataa kweli? Maana aliempiga hiyo picha ni mmewake? Ahaaaa sory ni mwenzake wanaejuana
 
Back
Top Bottom