Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Dah!! huyu jamaa huwa namuelewa sana ila hapa kazingua kinoma yani!!

Naona anashindana na dada fulani sijui anaitwa nani niliona picha zake humu naye anatangaza mimba yake!!
 
Ichunguzeni hio picha sana sana kwenye kidevu mnaweza kuona dalili ya kupandikizwa hio face inawezekana beni ni victim tu teknolojia au pia ben inawezekana beni amekua rambuza
 
Au kaolewa jaman sio bure kioo cha jamii hv kwel yan nilikuwa napenda hata nyimbo zake Kwa hii nachukia kila kitu na yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom