Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Inaonekana unatetea sana kuonesha Mgongo hadharani, [emoji12][emoji12][emoji12]
Wewe jibu tu kuwa hao wote sio wanaume waliokamilika kisa mgongo umeoneshwa hadharani!Je wanaokata mauno hadharani?Vitu vidogo mtu yuko kazini mnapanic
 
Ndio tunajadili hiyo 'kazi' sio kupanik Ndugu!

Kwani Mashoga wana ndonya usoni?

Usishangae haya hao na Baunsa unaopost wameonesha Migongo ni 'Wake wa Watu'

Ulaya na Marekani kuna Maeneo ya Massage ya Wanaume kwa Wanaume kwako nadhan haina shida si ndio? [emoji12] [emoji12]
 
Afadhali nimepata wa kuzungumza nae lugha moja mim sion km ni yey nmeanglia kwa makin sana yan
Kweli itakua maybe amemkodi mtu2 amtengenezeee Kiki at the mean time adje kusema AC yake ilikua hacked or something
 
Ndio tunajadili hiyo 'kazi' sio kupanik Ndugu!

Kwani Mashoga wana ndonya usoni?

Usishangae haya hao na Baunsa unaopost wameonesha Migongo ni 'Wake wa Watu'

Ulaya na Marekani kuna Maeneo ya Massage ya Wanaume kwa Wanaume kwako nadhan haina shida si ndio? [emoji12] [emoji12]
Nachojaribu kusema msikimbilie kujudge!Nani angejua Scofield ni gay?Jamaa anavaa vizuri na anajiheshimu sana!Hiyo picha angekuwa amekaa diamond,kelele zote hizi zisingekuwepo!Ngoja kuna picha naitafuta ambayo diamond aliweka pozi akapigwa picha tokea nyuma,haikuwa mjadala!Acheni kuweweseka na vitu vidogo hivyo,basi muwaambie wasanii wa kiume wasikate mauno majukwaani,period!
 
Kwani Diamond ndo Nani?

Kwani ana tofauti gani na wanaokazwa?

Nimesoma post no. 340 umeandika kwako haina Shida Kama mkeo anakushika Makalio imebidi nimalize Mjadala na Wewe nimekuelewa vyema sana!

Uko sahihi kuendelea kumtetea 'Mwenzio' Ben paul
 
Ni kosa sana mwanaume uliekamalika kuonyesha mpododo hadharani. Huyo dogo hawezi kua kamilifu lazima atakua anapumuliwa tu.
 
Back
Top Bottom