Huletagi uwongo humuNa ushamba wako, zile picha ni za mda sana , waliziachia ku cover rumors
Halafu koma kuingilia fani za watu , kama umbea sio fani yako kuna majukwaa mengi upo nyonyo? Sio kila sehem lazima upite, pengine utapat presha zisizokuhusu
Huletagi uwongo humu
Huyu itakuwa Ben poo mwenyewee[emoji1][emoji16]
Ila haya majina ' Ben pol, Ben kinyaiya
My junia siwezi muita jina hili abadani
Ukishakuwa marioo bana[emoji16]Nime comfirm wameachana officially, bibie na pEte katupa,ben sasa hvi kapoa kama mlenda, mashauz yote kwisha
Hivi kweli kuna mgogo Genius ?Wagogo bure kabisa
Kiddin'
Binamu nini ilikua mbaya? Au Ben kachoka na utii bila shurtiNime comfirm wameachana officially, bibie na pEte katupa,ben sasa hvi kapoa kama mlenda, mashauz yote kwisha
Hamfikii mondiHata Kujaza Mimba
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Anahimiza Kuzaana Yeye Kaenda Kule Analala Tu [emoji16][emoji23][emoji28][emoji1]
William MalecelaHivi kweli kuna mgogo Genius ?
Hata Kujaza Mimba
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Anahimiza Kuzaana Yeye Kaenda Kule Analala Tu [emoji16][emoji23][emoji28][emoji1]
Kuwa makini na tetesi, umbeya, ufisadi na ushengenyaji. Una uhakika na hii story yako? Maana juzi tu tumetoka kuona picha wakiwa wamefunga pingu za maisha. Hata mwezi haujaisha tayari wamemwagana? Hebu kajipange uje upya usije kuwa unajichumia dhambi za uzushi
William Malecela
Msimlaumu sana Ben jamani...kama wako vizuri kiafya,basi mwanamke asilimia kubwa sana ndie mwenye uwezo wa kukubali kuiruhusu mimba iingie na ikae.msilisahau hiloKashindwa piga hata mimba.... Hovyo kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugai amedhalikisha wagogo, nikiwa dodoma nasikiaga wakimwita.