Tetesi: BenPol kulikoni na mpenzi wake raia wa Kenya?

Tetesi: BenPol kulikoni na mpenzi wake raia wa Kenya?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Rumor has it , kuwa yale mahusiano yaliyokua na tashtiti mjini, kati ya mwanamuziki benpaul na mrembo kutoka kenya , Annerlisa ambaye katokea kwenye familia ya kitajiri , inasemekana mahusiano hayo hayapo tena na sasa hivi imebaki story tu .

Chanzo cha ubuyu kinadai wawil Hao walimwagana mda mrefu tu ila hawakutaka wanazengo wajue kitu kwa kuogopa vichambo kwenye mitandao.

Siku za hiv karibun benpaul amekua kimya sana tofauti na awali walipokua kwenye mahusiano, ambapo alikua akiishi maisha expensive sana pamoja na trip nyingi za US, Dubai , China na nchi nyinginezo ambapo sasa hiv imebaki tu historia
 
Kuwa makini na tetesi, umbeya, ufisadi na ushengenyaji. Una uhakika na hii story yako? Maana juzi tu tumetoka kuona picha wakiwa wamefunga pingu za maisha. Hata mwezi haujaisha tayari wamemwagana? Hebu kajipange uje upya usije kuwa unajichumia dhambi za uzushi
 
Na ushamba wako, zile picha ni za mda sana , waliziachia ku cover rumors

Halafu koma kuingilia fani za watu , kama umbea sio fani yako kuna majukwaa mengi upo nyonyo? Sio kila sehem lazima upite, pengine utapat presha zisizokuhusu
 
Km ni kweli katuangushaa sasa anaachikaje huku hatuna hata ka kumbukumbu nchi jirani
 
Back
Top Bottom