It was all planedKuna viongozi wa chauma walijiuzulu ili kumpisha jamaa🤔
wala haikudanganyi huo ndiyo uhalisia wa wanasiasa wengi hapa tanzania.Kuna wakati nafsi inaniambia acha kuangaika na wanasiasa mazuzu bado wengi nchi hii jali familia yako.
Sijui nafsi inanidanganya
Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho.
Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Chaumma kinachoendelea jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu Mei 19, 2025.
Awali, Kigaila alikuwa akihudumu kwenye Sekretarieti ya Chadema kama Naibu Katibu Mkuu-Bara.
Na salumu mwalimu katibu mkuu nimesikia
Uko kama Mimi,ila ni Njaa na uchu wao!Kuna wakati nafsi inaniambia acha kuangaika na wanasiasa mazuzu bado wengi nchi hii jali familia yako.
Sijui nafsi inanidanganya
Msajili atasema hapa kila kitu kipo sawaHalmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho.
Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Chaumma kinachoendelea jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu Mei 19, 2025.
Awali, Kigaila alikuwa akihudumu kwenye Sekretarieti ya Chadema kama Naibu Katibu Mkuu-Bara.
View attachment 3339092
checknoris, the terminatorHalmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho.
Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Chaumma kinachoendelea jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu Mei 19, 2025.
Awali, Kigaila alikuwa akihudumu kwenye Sekretarieti ya Chadema kama Naibu Katibu Mkuu-Bara.
View attachment 3339092
at least now wataacha kuitajataja chadema na kujifanya wanachadema. byebye.Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho.