MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Wala haikudanganyi. Mwanasiasa sio wa kumuwekea dhamana.Kuna wakati nafsi inaniambia acha kuangaika na wanasiasa mazuzu bado wengi nchi hii jali familia yako.
Sijui nafsi inanidanganya
Wala haikudanganyi. Mwanasiasa sio wa kumuwekea dhamana.Kuna wakati nafsi inaniambia acha kuangaika na wanasiasa mazuzu bado wengi nchi hii jali familia yako.
Sijui nafsi inanidanganya
😂😂😂😂 ukaribu wageni toka DarKuna viongozi wa chauma walijiuzulu ili kumpisha jamaa🤔
Unacheza na Ubwabwa, siyo!? Ubwabwa mtamu ukishauzoeaIla Nchi yangu Nikajuaga Yule Mzee Hasheem dishi limeyumba kumbe mzima na alikuwa anatangaza Sera zake akiwa na akili timamu!!!
Kumbe Chauma ilikuwa jeshi la mtu mmoja haikuwa na safu ya uongozi. Hapo msajili kaweka matako kimya anamsikiliza bebi wake Msofe tu amwagize kuifuta Chadema.Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho.
Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Chaumma kinachoendelea jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu Mei 19, 2025.
Awali, Kigaila alikuwa akihudumu kwenye Sekretarieti ya Chadema kama Naibu Katibu Mkuu-Bara.
View attachment 3339092
Chama cha Ukombozi wa Umma. Hivi Umma upi unazungumzwa hapa? Umma ukombolewe kutoka wapi kwenda wapi? Utakombolewa kwa mbinu zipi? Ni nani atagharamia michakato na utekelezaji wa ukombozi huu? Anayegharamikia utekelezaji wa ukombozi huu atanufaikaje? Atarudishiwa gharama zake na faida lini?Chama cha Ukombozi wa Umma
Ni kweli wajinga, watu kama Braza K Mapovu asingepata hata mfuasi mmoja kwenye nchi ya wanaojitambuaHizi mbinu zinazotumika ni za kizamani sana lakini zinafanya kazi Kwa sababu bado watanzania wengine ni wajinga
Kama alivyovuta Mbowe toka kwa lowassa mkala kiulainiii.Hashimu Rungwe ni mzee wa mjini ashavuta chake anakula kiulaini Hana wasiwasi.
Haahaa Chaumma chama kinauzwa kwa haraka Sana, RUNGWE sio muda atapinduliwa rasmi...Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho.