Benson Kigaila apewa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CHAUMMA

sasa, kama walikuwa wanauza ramani vijana wakakamatwa na kupotezwa, ukila nyama ya mtu utaacha?
 
Kumbe Chauma ilikuwa jeshi la mtu mmoja haikuwa na safu ya uongozi. Hapo msajili kaweka matako kimya anamsikiliza bebi wake Msofe tu amwagize kuifuta Chadema.
 
Chama cha Ukombozi wa Umma
Chama cha Ukombozi wa Umma. Hivi Umma upi unazungumzwa hapa? Umma ukombolewe kutoka wapi kwenda wapi? Utakombolewa kwa mbinu zipi? Ni nani atagharamia michakato na utekelezaji wa ukombozi huu? Anayegharamikia utekelezaji wa ukombozi huu atanufaikaje? Atarudishiwa gharama zake na faida lini?

Hivi watanzania tumepata nafasi ya kujiuliza haya maswali na kuyatafutia majibu?

Majibu ya maswali haya ni muhimu sana kama tunataka kweli kujua kama tupo kwenye mikono salama ama la sisi kama taifa.

Karibu kwa kuleta majibu.
 
Hizi mbinu zinazotumika ni za kizamani sana lakini zinafanya kazi Kwa sababu bado watanzania wengine ni wajinga
Ni kweli wajinga, watu kama Braza K Mapovu asingepata hata mfuasi mmoja kwenye nchi ya wanaojitambua
 
Safi sana ,sisi wapenda demokrasia tunafurahi kwamba mpambano utakuwa mkubwa.

Big up CHAUMMA.

KUSHIBA NA MAENDELEO.

UBWABWA BURE SHULENI na HOSPITALINI.
 
Haahaa Chaumma chama kinauzwa kwa haraka Sana, RUNGWE sio muda atapinduliwa rasmi...
 
sasa ndio huyu ndio aje apambane na Heche majukwaani... ndivyo system inavyoona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…