Benson Kigaila, Wenje, John Heche, Halima Mdee na Salumu Mwalimu jipangenin a mjiandae vizuri kushika hatamu za uongozi wa juu CHADEMA. Hawa wamefeli

Benson Kigaila, Wenje, John Heche, Halima Mdee na Salumu Mwalimu jipangenin a mjiandae vizuri kushika hatamu za uongozi wa juu CHADEMA. Hawa wamefeli

Hapa naona unafiki uliotukuka. Hivi humpendi mtu aliye kwenye chama au chama chenyewe?
nadhani muerevu angechalenge mawaidha na mapendekezo hayo mujarabu na muafaka sana kwa uongozi wa chadema, kwa kuja na mawazo au fikra mpya, mdadala na bora zaidi ya hoja iliyoko mezani,

kuliko kukurupuka kutoka sijui kutoka wapi na mihemko tu 🤣
 
Kuna sehemu vyama vya upinzani wanakosea saana kwa mfano kwa sasa chama cha mapinduzi kinasajili wanachama wapya nchi nzima na kupita nyuma kwa nyumba kufuatilia wanachama wao kama bado wako hai au la! Lakini vyama vya upinzani wako kimya.
Ccm pia wana kampeni yao moja hivi kabambe saana ambayo inawalenga watoto wadogo umri miaka 7 mpka 17 dah! Nasemaje ccm kuondolewa uongozini bado saana.
sasa ukizungumza ukweli huo kwa upinzani, wataanza kulaumu tu, wakati wenye maono ya mbali juu ya uongozi wanazidi kujiandaa, kupanga safu za generations zao na kujizatiti zaidi kushika hatamu za uongozi wa nchi kadiri muda unavyosonga..

thank gentleman 👊👊💪
 
Hao uliowataja hawauwezi huu mziki
wakipata administration and mentorships trainings kidogo tu wanaweza kufanya vizuri zaidi ya hawa ambao hawana mawazo mapya wala fikra mbdala tena saivi..

Ni kujipanga tu gentleman 🐒
 
shangaa na wewe tangu lini mboga wa kijani akatoa ushauri wa kuifaidisha chadema , nilitegemea ndo wafurahie huko kushindwa kwa Mbowe na wenzie
 
shangaa na wewe tangu lini mboga wa kijani akatoa ushauri wa kuifaidisha chadema , nilitegemea ndo wafurahie huko kushindwa kwa Mbowe na wenzie
 
Back
Top Bottom