Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
nadhani muerevu angechalenge mawaidha na mapendekezo hayo mujarabu na muafaka sana kwa uongozi wa chadema, kwa kuja na mawazo au fikra mpya, mdadala na bora zaidi ya hoja iliyoko mezani,Hapa naona unafiki uliotukuka. Hivi humpendi mtu aliye kwenye chama au chama chenyewe?
kuliko kukurupuka kutoka sijui kutoka wapi na mihemko tu 🤣