Benson Kigaila, Wenje, John Heche, Halima Mdee na Salumu Mwalimu jipangenin a mjiandae vizuri kushika hatamu za uongozi wa juu CHADEMA. Hawa wamefeli

Hapa naona unafiki uliotukuka. Hivi humpendi mtu aliye kwenye chama au chama chenyewe?
nadhani muerevu angechalenge mawaidha na mapendekezo hayo mujarabu na muafaka sana kwa uongozi wa chadema, kwa kuja na mawazo au fikra mpya, mdadala na bora zaidi ya hoja iliyoko mezani,

kuliko kukurupuka kutoka sijui kutoka wapi na mihemko tu 🀣
 
sasa ukizungumza ukweli huo kwa upinzani, wataanza kulaumu tu, wakati wenye maono ya mbali juu ya uongozi wanazidi kujiandaa, kupanga safu za generations zao na kujizatiti zaidi kushika hatamu za uongozi wa nchi kadiri muda unavyosonga..

thank gentleman πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Hao uliowataja hawauwezi huu mziki.

Huu mziki ni shida! Kila mwezi Lock up daah!
 
Hao uliowataja hawauwezi huu mziki
wakipata administration and mentorships trainings kidogo tu wanaweza kufanya vizuri zaidi ya hawa ambao hawana mawazo mapya wala fikra mbdala tena saivi..

Ni kujipanga tu gentleman πŸ’
 
shangaa na wewe tangu lini mboga wa kijani akatoa ushauri wa kuifaidisha chadema , nilitegemea ndo wafurahie huko kushindwa kwa Mbowe na wenzie
 
shangaa na wewe tangu lini mboga wa kijani akatoa ushauri wa kuifaidisha chadema , nilitegemea ndo wafurahie huko kushindwa kwa Mbowe na wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…