How come?Kuna mtu kazindua Boat ya uokoaji ya Bil 1.5
Kuna mtu kazindua Boat ya uokoaji ya Bil 1.5. ๐คฃ๐คฃ nimecheka ulivosema kwa utuvu kweli nimeiona kaka huko mjini Instagram
Kali sana hiiBentley nao wamejoin EV race, officially wamezindua Bentley Torcal, ambayo ni fastback SUV, na ni Bentley yenye torque kubwa kuwahi tengenezwa.
Inakuja na 870 HP na 1,350 Nm za torque, zinazokupa acceleration ya 0-100 km/h chini ya sekunde 3.
Namba ova za sports cars, ila hii ni SUV, Ina urefu wa mita 5, kwahiyo ipo quick kuliko Bentley yoyote, ata Continental GT.
Torcal EV inakuja na range ya 600 km, kwa battery la 110 kWh, na unaweza kulicharge fast charger (DC) kutoka 10%-80% ndani ya dakika 16
Matajiri mnataka Bei, ni Bei ya kila Lamborghini Urus na Rolls Royce ukooo, $230,000.
Afanye topupMFALME WETU tajirii kuna mpira mpya umetoka..!!
Hivi hii ukitop up na ist ni shingapi? ๐นAfanye topup
akili za mwa Africa ni hatariYule yule aliezindua coaster ya Mil 330
25 unaongezwa moya๐Hivi hii ukitop up na ist ni shingapi? ๐น
Em ongea vizuri, nini kama una kifafa?? ๐น๐น25 unaongezwa moya๐
Mkuu mimi magari sio hobby yangu kabisa. Nipo najichanga apa ninunue ki mclaren changu apo nitulizaneMFALME WETU tajirii kuna mpira mpya umetoka..!!
Nimesema pesa ya kununua hio gari unanunua ist 25 unaongezwa moya ๐Em ongea vizuri, nini kama una kifafa?? ๐น๐น
Hapo naongeza ngapi na ist yangu..!! ๐น
Mbona kinyonge sasa tajiriii ๐น๐นMkuu mimi magari sio hobby yangu kabisa. Nipo najichanga apa ninunue ki mclaren changu apo nitulizane
Yaaan viongozi hawajitambuivizuri,
wakati hayo yote yanatokea huku ngozi nyeusi ipo tu kazi kuuana,kutesana,kulawitiana na kugombea vyeo .
๐น๐น๐น Acha dharau, Kwahiyo hiki kibunju changu niongezee shingapi nivute pira hilooNimesema pesa ya kununua hio gari unanunua ist 25 unaongezwa moya ๐