Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Bentley nao wamejoin EV race, officially wamezindua Bentley Torcal, ambayo ni fastback SUV, na ni Bentley yenye torque kubwa kuwahi tengenezwa.

Inakuja na 870 HP na 1,350 Nm za torque, zinazokupa acceleration ya 0-100 km/h chini ya sekunde 3.

Namba ova za sports cars, ila hii ni SUV, Ina urefu wa mita 5, kwahiyo ipo quick kuliko Bentley yoyote, ata Continental GT.

Torcal EV inakuja na range ya 600 km, kwa battery la 110 kWh, na unaweza kulicharge fast charger (DC) kutoka 10%-80% ndani ya dakika 16

Matajiri mnataka Bei, ni Bei ya kina Lamborghini Urus na Rolls Royce ukooo, $230,000.