Honda wamezindua 4th Gen Insight: Sasa hivi ni full EV sio tena hybrid kama matoleo ya nyuma!

Honda wamezindua 4th Gen Insight: Sasa hivi ni full EV sio tena hybrid kama matoleo ya nyuma!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Najua inawezakua ni habari mbaya kwa wengine. Ila ndio hivyo.
IMG_8643.jpeg

Honda wamezindua generation ya nne ya hybrid yake pendwa Honda Insight, ila sasa wameachana na hybrid moja kwa moja wameenda EV.
IMG_8640.jpeg

Kwahiyo Insight EV jina jingine itaitwa Honda e:N2 kwa masoko ya China na Thailand.
IMG_8644.jpeg

Kwa kuanza, muonekano wameshift kutoka generation ya tatu iliyokua sedan na wameenda compact crossover SUV, ikikaa juu ya platform mpya ya Honda, e:N Architecture F.
IMG_8642.jpeg

Kwa ndani, kuna infotainment screen ya 12.8-inch, na kwa dereva kuna 9.4-inch instrument cluster na pia unaweza enable 11.5-inch head-up display.
IMG_8646.jpeg

Wapenzi wa music, utapata Bose 12-speaker audio system, na inakuja na aroma diffuser kwa cartridges za marashi utakayoyaoenda kuweka.
IMG_8645.webp

Hii EV inakuja na battery la lithium-ion (kutoka kwa CATL) lenye ukubwa wa 68 kWh, litakalokupa range ya 545 km. Motor moja inakua mbele (FWD) na inatoa power ya 201 hp.
IMG_8641.jpeg

Kwa Japan imekuja na model mbili, moja ni Insight ya kawaida na ya pili Insight Honda ON Limited Edition.
IMG_8643.jpeg

Kwa mtizamo binafsi, Honda Insight ndio gari iliyokua inakaribia kupambana na Prius kuanzia muonekano, efficiency na build quality.

Tusubirie zijae Japan tuone bei ya used utakuaje, maana kwa sasa mpya ni $35,000/= kabla ya chochote.
 
Vivi hizi hybrid ni kweli kuwa zikipata changamoto huwa ni shida sana kumpata fundi ambaye atatatua changamoto husika?Au ni maneno tu tunaogopeshana ili tusizinunue?
 
Vivi hizi hybrid ni kweli kuwa zikipata changamoto huwa ni shida sana kumpata fundi ambaye atatatua changamoto husika?Au ni maneno tu tunaogopeshana ili tusizinunue?
Usiwasikilize hao mkuu. Cheki hybrid za Prius, Aqua, Fit, nk zilivyojazana. Hazipo kama wanavyodai.
 
Kwa hiyo happ ni mwendo wa kuchaji tu. Hivi hakuna mpango wa kutengeneza power bank za kuchajia hayo magari? In case uko kona za Iyovi halafu chaji imekwisha!
 
Kwa hiyo happ ni mwendo wa kuchaji tu. Hivi hakuna mpango wa kutengeneza power bank za kuchajia hayo magari? In case uko kona za Iyovi halafu chaji imekwisha!
Kuna wahuni wanatembea na generator.
 
Kwa hiyo happ ni mwendo wa kuchaji tu. Hivi hakuna mpango wa kutengeneza power bank za kuchajia hayo magari? In case uko kona za Iyovi halafu chaji imekwisha!
Kuna wahuni wanatembea na generator.
 
Back
Top Bottom