Ist 20M😹😹😹 Acha dharau, Kwahiyo hiki kibunju changu niongezee shingapi nivute pira hiloo
Au nijifanye diva nitembeze bakuli mnichangie dada yenu? 😹
Mbona pesa ndogo sana?Ist 20M
hio ndinga ni $230,000 ukichenchi kwa fedha za madafu ni kama 500M hivi kwahivyo unatakiwa uwe na cash 480M,
simple mathematic
Mimi mwenyewe nimebaki najiuliza swali kama lako🤣Mbona pesa ndogo sana?
Wanapata faida kweli? 😹
Kwanini wanaweka chini sana? Wananiuzi mno. Inakua km corora aaah
😂😂😂
Sina hela achana namimiMbona kinyonge sasa tajiriii 😹😹
Waongeze watapata hasara 😹😹Mimi mwenyewe nimebaki najiuliza swali kama lako🤣
Chukua mpira tajiriiii 😹Sina hela achana namimi
Sitokii 😂😂😂Toka hapa
Nilitaka nimchambe nikamuonea huruma maana anaonekana hata taa za benzino hajui bei yake..!! 😹😹Ungemwambia acha dharau
Yule jamaa ndio alinunua coaster kwa 300+Kuna mtu kazindua Boat ya uokoaji ya Bil 1.5
Mbaya.Bentley nao wamejoin EV race, officially wamezindua Bentley Torcal, ambayo ni fastback SUV, na ni Bentley yenye torque kubwa kuwahi tengenezwa.
Inakuja na 870 HP na 1,350 Nm za torque, zinazokupa acceleration ya 0-100 km/h chini ya sekunde 3.
Namba ova za sports cars, ila hii ni SUV, Ina urefu wa mita 5, kwahiyo ipo quick kuliko Bentley yoyote, ata Continental GT.
Torcal EV inakuja na range ya 600 km, kwa battery la 110 kWh, na unaweza kulicharge fast charger (DC) kutoka 10%-80% ndani ya dakika 16
Matajiri mnataka Bei, ni Bei ya kila Lamborghini Urus na Rolls Royce ukooo, $230,000.
Hatari sanaYaaan viongozi hawajitambui