Ferrari wamezindua Ferrari Luce: Ferrari ya kwanza ya umeme kwa Tsh Billion 1.7 tu!

Ferrari wamezindua Ferrari Luce: Ferrari ya kwanza ya umeme kwa Tsh Billion 1.7 tu!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kampuni toka Italia ya kutengeneza luxury sports cars, Ferrari, wamezindua leo gari yao ya kwanza ya umeme, Ferrari Luce (F222)!
IMG_8748.webp

Kwa kuanza tu, imetofautiana kabisa na muonekano tuliouzoea wa Ferrari, na imekuja kwa milango mitano na seat 5.
IMG_8749.webp

Kwa performance, inakuja na motor nne, AWD, na unapata jumla ya 1,000+ hp na acceleration ya 0-100 kwa 2.5 sec.
IMG_8750.webp

Battery lina ukubwa wa 120 kWh, inayochajiwa kwa architecture ya 800 V, inayokupa range ya kilometa 520.
IMG_8751.png

Hii Ferrari inavyotengenezwa ilikua na code name ya Elettrica ila mwishoni wamerudi kuiita Luce. Nilileta topic hii hapa: Matajiri tunzeni hela. Ferrari ya kwanza ya umeme “Ferrari Elettrica“ inakuja soon!
IMG_8752.jpeg
Kwahiyo hii ni Ferrari ya kwanza ya umeme, pia ni ya kwanza kua na seat 5, Ferrari ya kwanza kua na nafasi kubwaaa ndani, ndio Ferrari ndefu na nzito kuliko zote, kua na 4 wheels steering, kua na active aerodynamic grilles nk nk nk.
IMG_8753.jpeg

Kwa bei, itataka $640,000 tu bila shipping wala kodi. Asante.
 
Back
Top Bottom