Ferrari wamezindua Ferrari Luce: Ferrari ya kwanza ya umeme kwa Tsh Billion 1.7 tu!

Ferrari wamezindua Ferrari Luce: Ferrari ya kwanza ya umeme kwa Tsh Billion 1.7 tu!

Mkuu

Shukrani Kwa Moyo Wako Wa Kutufanya Twende Na Wakati Hata Kama Uwezo Wa Kumiliki Chuma Hiyo Hatuna Tunaendelea Kujifariji Kwa Misemo/Nahau Za Kiswahili

Kuona Siyo Kuchukua
Fahari Ya Macho Haifirisi Duka
 
Kampuni toka Italia ya kutengeneza luxury sports cars, Ferrari, wamezindua leo gari yao ya kwanza ya umeme, Ferrari Luce (F222)!
View attachment 3595395
Kwa kuanza tu, imetofautiana kabisa na muonekano tuliouzoea wa Ferrari, na imekuja kwa milango mitano na seat 5.
View attachment 3595396
Kwa performance, inakuja na motor nne, AWD, na unapata jumla ya 1,000+ hp na acceleration ya 0-100 kwa 2.5 sec.
View attachment 3595397
Battery lina ukubwa wa 120 kWh, inayochajiwa kwa architecture ya 800 V, inayokupa range ya kilometa 520.View attachment 3595398
Hii Ferrari inavyotengenezwa ilikua na code name ya Elettrica ila mwishoni wamerudi kuiita Luce. Nilileta topic hii hapa: Matajiri tunzeni hela. Ferrari ya kwanza ya umeme “Ferrari Elettrica“ inakuja soon!
View attachment 3595403Kwahiyo hii ni Ferrari ya kwanza ya umeme, pia ni ya kwanza kua na seat 5, Ferrari ya kwanza kua na nafasi kubwaaa ndani, ndio Ferrari ndefu na nzito kuliko zote, kua na 4 wheels steering, kua na active aerodynamic grilles nk nk nk.
View attachment 3595404
Kwa bei, itataka $640,000 tu bila shipping wala kodi. Asante.

sijui ndo kulala na nyoka . Au kuvamia BOT pale 😂. Iyo bei sio mchezo😎.
 
Hii speed yake aisee si mchezo yaani ukikosea Tu kukanyaga pedal umekufa... Makampuni ya ulaya wameona Bora walinde brand zao dhidi wa wachina na hii ndiyo vita iliyopo mbele Yao kwasababu mchina anaenda kutoa copy kama hii alafu wanakuja kuuza Kwa nusu bei
2.5 sec tayari ushafika 100 wale wa kufuta kisahani barabara ya urefu wa mita 100 inatosha kutimiza ndoto.
 
Hii speed yake aisee si mchezo yaani ukikosea Tu kukanyaga pedal umekufa... Makampuni ya ulaya wameona Bora walinde brand zao dhidi wa wachina na hii ndiyo vita iliyopo mbele Yao kwasababu mchina anaenda kutoa copy kama hii alafu wanakuja kuuza Kwa nusu bei
Na hii ndio wanapofeli. Vita ya Mchina sahivi yamoto sana. Bora wapambane na hybrids na ICE.
 
Mkuu

Shukrani Kwa Moyo Wako Wa Kutufanya Twende Na Wakati Hata Kama Uwezo Wa Kumiliki Chuma Hiyo Hatuna Tunaendelea Kujifariji Kwa Misemo/Nahau Za Kiswahili

Kuona Siyo Kuchukua
Fahari Ya Macho Haifirisi Duka
Hahahahaa pamoja sana kaka.
 
kitu

<iframe width="1426" height="802" src="
View: https://www.youtube.com/embed/uMlSrWWbjpY" title="FIRST LOOK at the Ferrari Luce - the first electric Ferrari looks NOTHING like any other Ferrari..." frameborder="0" allow="accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture; web-share" referrerpolicy="strict-origin-when-cross-origin" allowfullscreen></iframe>
 
Back
Top Bottom