Ferrari wamezindua Ferrari Luce: Ferrari ya kwanza ya umeme kwa Tsh Billion 1.7 tu!

Ferrari wamezindua Ferrari Luce: Ferrari ya kwanza ya umeme kwa Tsh Billion 1.7 tu!

Hii speed yake aisee si mchezo yaani ukikosea Tu kukanyaga pedal umekufa... Makampuni ya ulaya wameona Bora walinde brand zao dhidi wa wachina na hii ndiyo vita iliyopo mbele Yao kwasababu mchina anaenda kutoa copy kama hii alafu wanakuja kuuza Kwa nusu bei
Kuna watu wananunua kwa sababu ya brand
 
Dunia haipo fair hii; Toyota Raum tuu tuu, inanishinda, kila nikichanga pesa naishia milioni mbili, kufumba na kufumbua imeisha. 😊
 
Back
Top Bottom