Bentley wamezindua Gari yao ya Kwanza ya Umeme: Torcal Fastback SUV!

😹😹😹 Acha dharau, Kwahiyo hiki kibunju changu niongezee shingapi nivute pira hiloo

Au nijifanye diva nitembeze bakuli mnichangie dada yenu? 😹
Ist 20M
hio ndinga ni $230,000 ukichenchi kwa fedha za madafu ni kama 500M hivi kwahivyo unatakiwa uwe na cash 480M,
simple mathematic
 
Ningepata nafasi ya kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa Elimu yetu; ninge geuza MTAALA WA ELIMU kuanzia msingi hadi Sekondari twende na SAYANSI TU hayo masomo ya Art watu wangejisomea wenyewe.
Baada ya miaka 15, ungeona madude kama hayo yana anza kubuniwa hapa nyumbani, drone, Helicopter, simu za kisasa, nk nk nk tofauti na sasa ambapo hata kubuni brush ya kuoshea vyombo ni shida?
Lakini pia tungepata kizazi kipya cha ubunifu na uzalishaji badala ya kizazi cha wapiga soga/kamari nk nk
Ni mtazamo wangu!
 
Newton meter of torque 1350 .,..hii ni zaidi ya ndege , aisee hii mashine ukiwa nayo hapa bongo unaweza kuovertake kutoka DAR Hadi mwanza
 
Mbaya.
 
Watoto wetu watafaidi sana mitumba ya hivi vyuma 2046, sisi ngoja tuendelee na Mazda CX5, Vanguard, na Harrier tako la nyani za 2005-2009
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…