Bentley wamezindua Gari yao ya Kwanza ya Umeme: Torcal Fastback SUV!

Watoto wetu watafaidi sana mitumba ya hivi vyuma 2046, sisi ngoja tuendelee na Mazda CX5, Vanguard, na Harrier tako la nyani za 2005-2009
Wakati huo 2046 kutakuwa Kuna magari yanayopaa bila dereva!

Itaonekana wanaendesha mikangafu tu
 
Kwamba utembeze bakuli! Halafu wakuchangie! Dada yao! Fresh mwanetu πŸ™ˆ
Ungeniazima bakuli lako kubwa ili michango itoshee..!! Si unajua mbakuli wako ulivyo mpana na mkuuubwaa..!! 😹😹😹

We mce nge id yako kongwe ipi?
Naona unanikubali kinyama kila sehemu upo unanifata..!!
 
Reactions: ---
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…